Nyaraka/Hati

Sasisho kuhusu vyeti vya kuzaliwa

Tunawajulisha ya kwamba, Wazajili wa Kiraia watakuwa Kakuma na Kalobeyei kutoka tarehe 11 hadi 15 wa mwezi wa Kumi, Mwaka wa 2021 kutoa cheti cha kuzaliwa kwa watoto waliozaliwa kati ya mwaka wa 2018 na 2020. Mtu yeyote anayehitaji cheti hicho anaweza kuweka miadi kupitia KASI, tarehe yeyote anaependa yeye mwenyewe.

UNHCR Field Post 111 October
UNHCR Field Post 212, 13 October
UNHCR Field Post 414 October
UNHCR Field Post Kalobeyei15 October

Tafadhali tunawajulisha kwamba ujumbe huu unawahusu watoto waliozaliwa kati ya Mwaka wa 2018 na 2020 pekee.

Tafadhali leta hati tatu zifwatazo;

  • Arifa ya kuzaliwa (kutoka hospitali)
  • Kitabu ca kliniki
  • Uthibitisho wa usajili (Manifest)

Kwa nyaraka zinazohusu biashara yako, pamoja na vibali vya kufanya kazi, usajili wa biashara na vibali vya biashara, tafadhali nenda kwenye huduma za ki Maisha (livelihoods).











See also

<< Back to Kenya homepage >> Select another country on our Help page