Kurudi Kwa Hiari

Kama ukotayari kurudi kwa inchi ya asili yako  na unatamamani kujua maelezo zaidi kuhusu mchakato, hali iliyoko kwenye taifa lako la asili , msaada wakurudi nyumbani na  huduma  unaweza:

Tafadhali unajulishwa kwamba UNHCR Kenya inapeana fedha tasilimu 150 USD ya kuondoka  kwa kila mtu anarudi nyumbani bila kujali mataifa  yao, umri au aina ya usafiri!

 • Kuna Help Desks nne zinapatikana  NRC Field Posts Jumatatu mpaka  ijumaa 8:30 – 12:30 (hakuna uteuzi unaohitajika)
  • Maeneo:
   • Kakuma 1 – Field Post 1 UNHCR
   • Kakuma 2/3 – Liz-Ahua Hall
   • Kakuma 4 – NRC center 4 lower campus
   • Kalobeyei – NRC center village 1

Tembelea kituo cha Integrated Return Help Desks (IRHD) na wafanyakazi wa vyama vya UNHCR, RAS na NRC watatoa  maelezo ya muhimu . Pia utaweza kujiandikisha mara utakapo amua kurudi kwa hiari kwenye nchi yako ya asili.

Unaweza omba kuonana na mshauri wa UNHCR kupitia KASI. KASI inapatikana kwenye kompyuta zilizokuwa kwenye  UNHCR Field Posts.

Soma maelezo kuhusu  nchi yako asili  

Soma  maelezo ya karibuni kenye  Vol Rep of Burundian refugees .

Julisha UNHCR kwa kuandika kwa [email protected].


See also

<< Back to Kenya homepage >> Select another country on our Help page