Habari za Kakuma

Habari za watu husika kuhusu mpangilio na suluhisho za wakimbizi katika kambi za Dadaab na Kakuma

May 2021

Kamishna Mkuu wa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia suala la wakimbizi alizuru Kenya mnamo Aprili, ili kufanya mazungumzo na serikali ya Kenya kuhusu suluhisho la wakimbizi wanaoishi kambini. Serikali ya Kenya pamoja na shirika la UNHCR ziliafikiana kuwa zitafanya kazi kwa ushirikiano nanyi, ili kuweka mikakati itakayoleta suluhu tangia sasa hadi Juni 2022.

Tungependa kuwahakikishia kuwa tutazidi kuwafahamisha habari zinapotokea, na muda ukiwadia, tutashauriana nanyi kwa mambo kadhaa yatakayoibuka, likiwemo suala la kurejeshwa nyumbani kwa hiari. Tutahakikisha kuwa suluhu zozote zinazoafikiwa zinafanywa kwa njia ya hiari pekee.

Kwasasa, serikali, shirika la UNHCR pamoja na washirika wengine wataendelea kutoa huduma mara kwa mara kama kawaida huko kambini. Pia wanapatikana wakati wowote ili kuzungumza nanyi.

Elimu

Umoja Wa Kimataifa wa Wakimbizi (...

Usajili

Habari kuhusu waanao sajiliwa mara...

Afya

UNHCR inafanya kazi na washirika w...

Riziki

Vibali vya kazi Vibali vya kazi...


See also

<< Back to Kenya homepage >> Select another country on our Help page